Jasusi Mbobezi
Senior Member
- May 17, 2020
- 195
- 851
Kwa moyo wadhati kabisa naipongeza awamu ya 5 kwa kuruhusu huduma ya Freebasics kupatikana hapa nchini kwani inatuwezesha kuingia JamiiForums bure na kutumia tovuti nyingine kama Facebook, BBC Swahili, Shule direct bure kabisa.
Ingewezekana kabisa serikali kuzuia huduma hiyo, lakini kwakuwa inajali wananchi imeruhusu nasi tunatumia bure.
Mwisho niwape pole wafuasi wa Mfalme wa gambe kwa kuzidi kupoteza wabunge.
Ahsanteni
Ingewezekana kabisa serikali kuzuia huduma hiyo, lakini kwakuwa inajali wananchi imeruhusu nasi tunatumia bure.
Mwisho niwape pole wafuasi wa Mfalme wa gambe kwa kuzidi kupoteza wabunge.
Ahsanteni