Duu huyo mtoto kwa mbali anafanana na trumpNakusisitiza kaka angu.....kitanda hakizai haramu na nafurahi na wewe umekua katika msimamo thabiti kabisa.
View attachment 753022
Hapana..kiumbe hakina hatia hicho[emoji23][emoji23] kwani vp....utakanyonga katoto au
Ukawaida wake uko wapi.?Jambo la kawaida sana hilo ila tu wabongo hamjazoea
Tunaelewana kweli.? Inamaana anapozaa ndio wanampaka hiyo rangi asifanane na rangi ya wazazikwenye kuzaa mtoto