Hongera sana kaka, maneno ya watu yasikuyumbishe katika hili

Hongera sana kaka, maneno ya watu yasikuyumbishe katika hili

Hakuna kitu kama hicho..hta sekunde tu akienda gengeni inatosha kupokea mbegu hizo

Ila kusema kweli sijasoma mada[emoji23] [emoji23]
hakuna mada hapo.....pana picha tu[emoji4]
 
Hahah!! Hii imezidi ata muujiza wa Bi Mariam wa kuzaa bila kukutana na ME..
Hahahaaa. Na baba mtu anaonekana ameridhika mwenyewe. Sisi watazamaji ndio tunashangaa kulikoni.
 
Hahah!! Hii imezidi ata muujiza wa Bi Mariam wa kuzaa bila kukutana na ME..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakufuru ujue
 
Hahahaaa. Na baba mtu anaonekana ameridhika mwenyewe. Sisi watazamaji ndio tunashangaa kulikoni.
Hahah!! Nikweli sura ya baba imeshamiri furaha kubwa sana siri yao wanaijua wenyewe...
 
Hahah!! Nikweli sura ya baba imeshamiri furaha kubwa sana siri yao wanaijua wenyewe...
[emoji38][emoji38] sasa hapo wao ndo itakuwa wanatushangaa sis tunaona ni maajabu.
 
Back
Top Bottom