Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Hakuna kitu kama hicho..hta sekunde tu akienda gengeni inatosha kupokea mbegu hizowife au....mana ushaambiwa mke hajawahi kucheat na mda wote wapo wote ndani
Hahaaaa. Hata mie naona na hii ni zaidi ya miujiza rafiki.Hakika Mungu katenda miujiza, hongera zake
[emoji848] [emoji848] Mkuu utajua siku upimaji ukianza.ukimaanisha kwamba?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duu huyo mtoto kwa mbali anafanana na trump
Hahah!! Hii imezidi ata muujiza wa Bi Mariam wa kuzaa bila kukutana na ME..Hahaaaa. Hata mie naona na hii ni zaidi ya miujiza rafiki.
Hahahaaa. Na baba mtu anaonekana ameridhika mwenyewe. Sisi watazamaji ndio tunashangaa kulikoni.Hahah!! Hii imezidi ata muujiza wa Bi Mariam wa kuzaa bila kukutana na ME..
Aisee! Astaghfir Astaghfir....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakufuru ujue
Hahah!! Nikweli sura ya baba imeshamiri furaha kubwa sana siri yao wanaijua wenyewe...Hahahaaa. Na baba mtu anaonekana ameridhika mwenyewe. Sisi watazamaji ndio tunashangaa kulikoni.
Sirudii aiseeusirudie tena....yanaweza kukukuta
Lakini labda sio mumewe inaweza kua ni kaka yake tu kaja kumtizama dada yake kajifungua[emoji38][emoji38] sasa hapo wao ndo itakuwa wanatushangaa sis tunaona ni maajabu.