Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Hakuna nchi duniani yenye uhuru usio na mipaka, hakuna na haipo, hata huyo fala wenu Mange Kimambi mnayemtuma amtukane na kumdhalilisha kiongozi wa nchi kuna siku ataingia kwenye 18 za watu atajua ulimwengu huu ni nini, maana hakuna jambo lenye mwanzo lisilo na mwisho, yeye amechagua kuishi kwa kutukana watu ili apate hela lakini am sure one day atafurahi mwenyewe.
Sasa kuna wajinga wajinga akiwemo Jacob na Malisa, wao wanajiona ndio wasomi, waelewa sana, wanajua sheria, hawaogopi, machawa wa Mbowe, wamezoea kuzusha mambo mengi dhidi ya serikali, sio kwamba serikali haioni hapana, inasimamia 4 R za Mhe.Rais yaani Resilience, Rebuilding, Reform and Reconciliation.
Kiongozi wetu wa nchi ni mstaarabu mno, sisi tunaojua siasa za nchi hii tunajua watu wakishapewa uhuru wataingia hadi chooni na ndio navyoona akina Jacob na Malisa na wajinga wajinga wengine ambao hawana kazi zaidi ya kutukana.
Guys, serikali ikitaka kushughulika na watu aina ya Jacob haishindwi, nchi hii ni huru, hakuna mtu anayeweza kuja kutuamria nani wa kumweka ndani na nani wa kumuachia, Mbowe kakaa jela weeee na huyo Kibatala mnayemtegemea alishindwa kumnusuru huko gerezani hadi mwanamama shujaa, mcha mungu aliponusuru maisha ya Mbowe gerezani kwa sababu afya yake ilikwishazorota, alikuwa anajivunga tu.
Mm raia wa kawaida tu nakupongeza sana RPC Muliro kwa kuwashikilia watuhumiwa hao, usisikilize kelele za wapangaji, sisi tunaopenda usalama wa nchi tumelala usingizi vizuri tu.Huko mahabusu kila mtu anajua kulivyo, leo wanaposema eti wanafurahia kukaa mahabusu wanamdanganya nani, mbona mnahangaikia dhamana kama mahabusu kuzuri, waacheni waendelee kulala na mtondogoo.
Sasa mkipewa dhamana rudini mkatukane tena muone, bumbavu