Hongera sana Kamanda Muliro kwa kuwashikisha adabu Jacob na Malisa

Wewe una maslahi gani na vitendo vya Mauaji ya kiholela vinavyofanywa na Jeshi la Polisi hapa nchini? Kwa nini unatetea uovu na uhalifu wa Polisi?
 
Tukisema CCM inaharibu vijana wa Taifa hili watu wengine huwa hawaelewi, oneni huyu alichoandika ndio mtaelewa
 
Mleta mada Kwa akili hii iloionyesha oksijeni unayovuta unatakiwa kuilipia huna AKILI HATA KIDOGO na sijajua kwanini unapumua Hadi Leo
 
Kijana kama huyu mleta mada Kesha haribiwa Kila kitu na hata marinda Hana huyu keshavembewa sasa anamwaga hewa chafu kotekote yaani mdomoni na kule kwingine
 
Kumbe unajua hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho
Basi hata hio ccm inayokufanya uwe jeuri
Inayo kufanya huite watu mafala
Ipo siku itaondoka madarakani
Na hata hicho cheo chako unacho ringia mpaka unatukana watu kina mwisho ipo siku utakuwa raia wakawaida tu
Na hata huo uonevu wenu mnao ufanya kubambikizia raia kesy utafika mwisho
Katika andiko lako lote pamoja
Umetumia lugha kali yakutukana watu
Umenifurahisha ulipo sema hakuna lenye mwanzo likakosa kua na mwisho hapo umesema kweli
Na mimi naku unga mkono ipo siku polisi watachoka kutumika na ccm
Ipo siku vijana wa lumumba watakosa polisi wakuwalinda
 
We ni chawa wa mama sio,piliccm badala ya kutafuta gari iliyomuua Mushi wanakamata mtu aliyeleta taharuki,kulala polisi masaa 48 ni kawaida sana kwa mwanaume,kwanza wameoata lift ya bure mpaka moshi kwa mafuta ya serikali,kodi yako
 
Utashangaa mtoa mada nae anayo Familia inayomtegemea. Duniani kuna mengi sana.
Hata mini nimeshangaa sana. Yaani anasema washikishwe adabu wote wanaotukana wakati yeye mwenyewe mwanzo mwisho kaporomosha matusi na kejeli kwa watu wasiohusika.

Huyu Jamaa ni sehemu ya watesi wa raia wasiokuwa na hatia. Nchi hii imejaa laana. Kila apandacho mtu ndicho avunacho.
 
Umeandika kama unasress, pole Kijana tafuta hela
 
Kuna watu wengi wapo gerezani nje ya gereza na wanaishi na mateso makali kuliko hata 5% ya waliopo ndani ya magereza
 
Guys, serikali ikitaka kushughulika na watu aina ya Jacob haishindwi, nchi hii ni huru, hakuna mtu anayeweza kuja kutuamria nani wa kumweka ndani na nani wa kumuachia,
Kwa kauli zako mtoa mada, utakuwa ni mmojawapo wa lile kundi haramu na batili la "WASIOJULIKANA". Siku yenu ya kulia na kusaga meno inakuja, maana kama ulivyosema mwenyewe, hakuna jambo lisilokuwa na mwisho
 
Mtoa mada ni miongoni wa Vichaa tulionao mwenye akili timamu hawezi kuandika Sharon kama huo LAZIMA uwe kichaa
 
Muuwaji polisi washamsahau
Wanahangaika na kina bony

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…