Hongera sana kambi ya Jeshi ya Makutopora-Dodoma

Hongera sana kambi ya Jeshi ya Makutopora-Dodoma

robbin

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
6
Reaction score
6
Napenda kutoa pongeze za dhati kabisa kwaniaba ya watanzania wenzangu wapenda unadhifu kwa kambi ya jeshi ya makutopora-Dodoma kwa jinsi mnavyoipendesha barabara kuu ya Dodoma Arusha kipande cha eneo lile la jeshi, kwakweli mazingira kama yale katika barabara kuu tumezoea kuyaona Majuu tu

Wakuu wa mikoa au Wizara na ofisi ya Makamu wa Rais mnaohusika na utunzaji wa mazingira na barabara zetu kuu tembeleeni makutopora mtajifunza jambo.

Makutopora wamepanda miti kando kando ya barabara na wanatrim nyasi kwa ustadi wa hali juu sana ukitembelea maeneo yale hakika utaskia fahari, nina imani kila anatepita pale hutoa neno la kusifia.
 
Back
Top Bottom