Naaam walete namba tuchangie timu yetu.Yanga hoyeeeeeeeKwanza kabisa ninakupongeza kocha Zahera na wachezaji wote kwa mshikamano mlionao tangu ligi ilipoanza mpaka sasa hamjapoteza hata mechi moja. Kwa wapenzi wa Klabu jirani zetu kila mara wanatusema kuwa hatuna fedha, Klabu imefilisika sasa tuwaonyeshe kuwa sisi ni wamoja na hivyo tunaiomba Klabu ifufue ile akaunti ya Mpesa,Airtel, Tigo ili wapenzi wa Klabu tuweze kutuma fedha ili kuisaidia Klabu yetu. Watani wetu hawana raha kila tukipata ushindi katika mechi tunazocheza. Tuna imani ubingwa utarudi tena Jangwani msimu huu.
Letebi bakuli kama sio beseni tuwachangie kwa kweliNaaam walete namba tuchangie timu yetu.Yanga hoyeeeeeee
Unaruhusiwa kiwazi wazi Africa ni moja na zambia ni ndugu zetu kabisa mi mwenyewe ni Nkana fcWakuu kama nashangilia Yanga si naruhusiwa pia kuisapoti Nkana Fc?!
Na mimi pia. 😂😂Unaruhusiwa kiwazi wazi Africa ni moja na zambia ni ndugu zetu kabisa mi mwenyewe ni Nkana fc
Vizuri basi ukizingatia Simba ina Watanzania wengi sana ila Nkana Fc yuko Mtanzania mmoja tu, Sasa itakuwa sio vizuri kutompa sapoti huyo mmoja atajisikia upweke sana.Unaruhusiwa kiwazi wazi Africa ni moja na zambia ni ndugu zetu kabisa mi mwenyewe ni Nkana fc
Kweli walianzishe tuchange hizo....mdogo mdogo tutafika tu.Kabisa hapo kwenye michango hatupaswi kuzembea hata kidogo kila siku lazima mchango upite umoja wetu ushindi wetu
Point kabisaVizuri basi ukizingatia Simba ina Watanzania wengi sana ila Nkana Fc yuko Mtanzania mmoja tu, Sasa itakuwa sio vizuri kutompa sapoti huyo mmoja atajisikia upweke sana.
Nashangaa wameacha hawajui kwa trend ya yanga mashabiki wapya wanaibuka kila siku hapa kuna jirani yangu ameamua kuunga mkono bidii ya yanga tumempa kadi jana jamaa alikuwa mikiaKweli walianzishe tuchange hizo....mdogo mdogo tutafika tu.
Kweli kabisa hongera ziwafikie kwani wanajua kutukosha.
Nkana hafungwi Kitwe. Iwe jua au mvua.Karibuni Kitwe..
tunza post yako...Nkana hafungwi Kitwe. Iwe jua au mvua.