Zahera ni bonge la kochaaaPamoja na usajlii wa zaidi ya billioni mbili lakini hawakufua dafu dhidi ya vijana wako. Nakuhakikishia kuwa UBINGWA wa mwaka huu ni wa Yanga.
Wanapumulia water pump hakuna namna zaidi ya kujifariji.Aisee kweli hongera yake!yaani watani mmefikia hatua ya kupongeza sare?ee Mungu wahurumie ni ndugu zetu hawa.
Af kuna mwingine hapo kasema ni "bonge la KOCHAAAA"!Wanapumulia water pump hakuna namna zaidi ya kujifariji.
hizo point walizo nazo mlishambulia nyie?Duh kocha gani team haishambulii mda wote wako golini kwao kuokoa tu.
Kweli mpira ni kipaji hata kuuangalia tu achilia mbali kuucheza.
Na kwanini haijaisha na magoli?Yanga walitamani mechi iishe
Ndala fcTofauti na ngumi (boxing), mpira haujalishi ulipiga pasi ngapi au ulimiliki kiasi gani. Kanuni iko kwenye kufunga bao. Kama hukufunga haya mengine ni porojo tu!
Kwa hiyo kulingana na gemu ilivyokuwa Yanga wanastahili pongezi!