HONGERA SANA KOCHA ZAHERA

HONGERA SANA KOCHA ZAHERA

Aisee kweli hongera yake!yaani watani mmefikia hatua ya kupongeza sare?ee Mungu wahurumie ni ndugu zetu hawa.
 
Yanga nguvu moja[emoji110], sema Simba wameupiga sana aisee Hongera kwao
 
Tofauti na ngumi (boxing), mpira haujalishi ulipiga pasi ngapi au ulimiliki kiasi gani. Kanuni iko kwenye kufunga bao. Kama hukufunga haya mengine ni porojo tu!
Kwa hiyo kulingana na gemu ilivyokuwa Yanga wanastahili pongezi!
 
Ndala fc
 
Back
Top Bottom