Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Mimi namjua mtu amekataa milioni 400 Temeke mwisho. Nyumba ya uswazi ila mwarabu anataka site.Kinondoni viwanja milion 500 ?
Hivi unaijua milion 5 wewe
Milioni 500 Kinondoni nakubali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi namjua mtu amekataa milioni 400 Temeke mwisho. Nyumba ya uswazi ila mwarabu anataka site.Kinondoni viwanja milion 500 ?
Hivi unaijua milion 5 wewe
Dollar milioni moja kimahesabu sawa, ila kiuhalisia huwezi kuwa na shilingi bilioni 2.3 halafu mtu akakupa dollars milioni moja.Braza unafeli.
$1M ni sawa na bilion 2.3Tsh tu
Sasa kwa viwanja tu masaki huko vipo vinatembea zaidi ya hiyo...hata kino tu kuna viwanja vya 500M+ wabongo weng wananunua..
tuje majengo: saiv dar yote imejaa maghorofa watu wanajenga majengo ya 800M+ kibao na ushee
Tuje magari watu wanaendesha hammer,V8 magari ya 200M+ hadi folen
Bado wenye majengo posta na kariakoo
Bado wanasiasa
Bado wafanyabiashara wakubwa
Bado watu wa migodi
Bado waarabu wa masheli na wahindi
unataka uniambie hawa watu wanakosa networth ya bilioni mbili tu?
pesa ndogo sana hiyo bwashee
Una kichaa wewe unaijua milion 500 wewe.
Hizo bangi mnavutia wapi ?
Hapo mzee akiondoka tu kijana anapauza kiurahisi pamoja na mzee kukataaAcha ubishi buda..nina jamaa yangu anakaa makumbusho wana nyumba pagale tu(kinyumba cha zamani sana kimechoka ukinunua unanua uwanja tu) wamepewa hadi 300M +,mzee wake amekataa japo aliachiwa urithi na baba yake.
Kwa mtu anayekaa Mlele akisikia MILIONI 500 lazima achanganyikiwe... Kwa Makumbusho, Mwenge, Sinza Inaenda kupanda... Tandika tu sasa hivi unaongelea 500Acha ubishi buda..nina jamaa yangu anakaa makumbusho wana nyumba pagale tu(kinyumba cha zamani sana kimechoka ukinunua unanua uwanja tu) wamepewa hadi 300M +,mzee wake amekataa japo aliachiwa urithi na baba yake.
Hapo mzee akiondoka tu kijana anapauza kiurahisi pamoja na mzee kukataa
Kwa mtu anayekaa Mlele akisikia MILIONI 500 lazima achanganyikiwe... Kwa Makumbusho, Mwenge, Sinza Inaenda kupanda... Tandika tu sasa hivi unaongelea 500
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mzee anayokwambia ni kweli kabisa hiyo 500 kiwanja ni sahihi kabisa bila tatizoUna kichaa wewe unaijua milion 500 wewe.
Hizo bangi mnavutia wapi ?
hapa tunaongelea networth sio money in the bankDollar milioni moja kimahesabu sawa, ila kiuhalisia huwezi kuwa na shilingi bilioni 2.3 halafu mtu akakupa dollars milioni moja.
Utazipata wapi kwa mfano?
Mtu mwenye $1M bank siyo sawa na mtu mwenye bilioni 2.3
Not in reality.
Kwani Cash siyo Networth?hapa tunaongelea networth sio money in the bank
Sasa unashangaa nini? Unafikiri ni vigwaza pale...nenda kamvue mtu eneo hata manzese uone utaambiwa shilingi ngapi..Kinondoni viwanja milion 500 ?
Hivi unaijua milion 5 wewe
Basi iyo nyumba iliyotaka kununuliwa ipo ndani ya kiwanja zaidi ya heka 10. Cheki ilo ghorofa ni MBA gala ni million 500 na bado negotiable kumbuka na hapo madalali wanataka cha juu. Anayeiu, a usikute anata taka million 250Acha ubishi buda..nina jamaa yangu anakaa makumbusho wana nyumba pagale tu(kinyumba cha zamani sana kimechoka ukinunua unanua uwanja tu) wamepewa hadi 300M +,mzee wake amekataa japo aliachiwa urithi na baba yake.
Hata mimi nimeshangaa.Vichekesho hivi hahahahha
Hizo sura hapo hamna Millionaire hata mmoja
Mita moja ya mraba mwenge inaweza kuwa imefika 300k kwa maeneo ya biashara.Basi iyo nyumba iliyotaka kununuliwa ipo ndani ya kiwanja zaidi ya heka 10. Cheki ilo ghorofa ni MBA gala ni million 500 na bado negotiable kumbuka na hapo madalali wanataka cha juu. Anayeiu, a usikute anata taka million 250View attachment 1623279
Mkuu usimdharau Mobetto yuko njema kifedhaEt mobeto ni milionea
Basi iyo nyumba iliyotaka kununuliwa ipo ndani ya kiwanja zaidi ya heka 10. Cheki ilo ghorofa ni MBA gala ni million 500 na bado negotiable kumbuka na hapo madalali wanataka cha juu. Anayeiu, a usikute anata taka million 250View attachment 1623279