Hongera sana kwa hawa kuwa dollar millionaires Tanzania

Embu niweke na Mimi hapo..ila baada ya miaka 20 ijayo...😂😂 Sijui nitakuwa na umri gani🤔
 
Dollar milioni moja kimahesabu sawa, ila kiuhalisia huwezi kuwa na shilingi bilioni 2.3 halafu mtu akakupa dollars milioni moja.
Utazipata wapi kwa mfano?

Mtu mwenye $1M bank siyo sawa na mtu mwenye bilioni 2.3

Not in reality.
 
Acha ubishi buda..nina jamaa yangu anakaa makumbusho wana nyumba pagale tu(kinyumba cha zamani sana kimechoka ukinunua unanua uwanja tu) wamepewa hadi 300M +,mzee wake amekataa japo aliachiwa urithi na baba yake.
Una kichaa wewe unaijua milion 500 wewe.

Hizo bangi mnavutia wapi ?
 
Acha ubishi buda..nina jamaa yangu anakaa makumbusho wana nyumba pagale tu(kinyumba cha zamani sana kimechoka ukinunua unanua uwanja tu) wamepewa hadi 300M +,mzee wake amekataa japo aliachiwa urithi na baba yake.
Hapo mzee akiondoka tu kijana anapauza kiurahisi pamoja na mzee kukataa
 
Kwa mtu anayekaa Mlele akisikia MILIONI 500 lazima achanganyikiwe... Kwa Makumbusho, Mwenge, Sinza Inaenda kupanda... Tandika tu sasa hivi unaongelea 500

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha sina hakika kama litatokea maana jamaa pia hataki hata kusikia kuhusu kuuzwa pale na isitoshe now ameanza buashara(amesoma biashara) ana malengo napo baadae.Na wamezaliwa watatu tu na yeye pekee ndo mwanaume na wa kwanza kuzaliwa.
Hapo mzee akiondoka tu kijana anapauza kiurahisi pamoja na mzee kukataa
 
Now hata mbagala kama huna 100M+ na kuendelea huwezi kupata site nzuri ya biashara.
Kwa mtu anayekaa Mlele akisikia MILIONI 500 lazima achanganyikiwe... Kwa Makumbusho, Mwenge, Sinza Inaenda kupanda... Tandika tu sasa hivi unaongelea 500

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Dollar milioni moja kimahesabu sawa, ila kiuhalisia huwezi kuwa na shilingi bilioni 2.3 halafu mtu akakupa dollars milioni moja.
Utazipata wapi kwa mfano?

Mtu mwenye $1M bank siyo sawa na mtu mwenye bilioni 2.3

Not in reality.
hapa tunaongelea networth sio money in the bank
 
Acha ubishi buda..nina jamaa yangu anakaa makumbusho wana nyumba pagale tu(kinyumba cha zamani sana kimechoka ukinunua unanua uwanja tu) wamepewa hadi 300M +,mzee wake amekataa japo aliachiwa urithi na baba yake.
Basi iyo nyumba iliyotaka kununuliwa ipo ndani ya kiwanja zaidi ya heka 10. Cheki ilo ghorofa ni MBA gala ni million 500 na bado negotiable kumbuka na hapo madalali wanataka cha juu. Anayeiu, a usikute anata taka million 250
 
Vichekesho hivi hahahahha

Hizo sura hapo hamna Millionaire hata mmoja
Hata mimi nimeshangaa.
Pesa za kudanga eti mtu awe bilionea wewe uliona wapi?Ulisikia wapi?Kuna huyo mwingine sijui wolper si yule anauza vitenge?Kuwa bilionea haijawahi kuwa rahisi hivyo,halafu hao wasanii mali zao zote huwa ni za uongo tu baadae umaarufu ukiisha wanakuja kuwa choka mbaya kama mr. nice,dudubaya na TID
 
Basi iyo nyumba iliyotaka kununuliwa ipo ndani ya kiwanja zaidi ya heka 10. Cheki ilo ghorofa ni MBA gala ni million 500 na bado negotiable kumbuka na hapo madalali wanataka cha juu. Anayeiu, a usikute anata taka million 250View attachment 1623279
Mita moja ya mraba mwenge inaweza kuwa imefika 300k kwa maeneo ya biashara.
Kwa kiwanja kikubwa cha sq. 1000 kinakuwa 300'000'000/-

Bado kuna opportunity cost.. unaniondoa nitaloose nini na utagain nini. Kiwanja kile kile mtu akijenga frame za vyumba 8 kwa matofali 3000.... Na mwingine akajenjenga nyumba ya vyumba nane ya makazi wakati wa kuuza japo vyote vimegharimu sawa sawa ujenzi mwenye frame atauza ghali zaidi ya mwenye nyumba ya makazi... Simply because huku kwenye biashara kunakuwa na matumaini ya kupata siku za usoni.

Hiyo uliyoweka wewe ni nyumba nzuri kwenye eneo lisilokuwa na thamani kubwa. Gharama za ujenzi ziko fixed ..mfano nyumba kama hiyo unaweza ukalipa laki 5.5 mpaka laki 6 kwa mita moja ya mraba kujenga.. iwe uko Mbeya, Mwanza au Mtwara.. ila kiwanja cha kuiweka nyumba kikavary significantly.

Mfano moja ukajenga Kibena Njombe, Nyingine ukajenga Capripoint Mwanza naYa mwisho ukajenga Oysterbay DSM.. japo gharama za ujenzi ni zile zile .. ila thamani ya nyumba hizi itakuwa tofauti. Kutokana na mahali ilipo.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mzee kigamboni usifananishe na Makumbusho pale ni mjini,,,
Basi iyo nyumba iliyotaka kununuliwa ipo ndani ya kiwanja zaidi ya heka 10. Cheki ilo ghorofa ni MBA gala ni million 500 na bado negotiable kumbuka na hapo madalali wanataka cha juu. Anayeiu, a usikute anata taka million 250View attachment 1623279
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…