Hongera sana kwa hawa kuwa dollar millionaires Tanzania

Kigamboni sio sehemu ya biashara,pia hiyo nyumba ni nzuri lakini haipo kibiashara na haipo eneo la biashara jamaa nyumba yao ina vyumba 10 lakini wamezungukwa na biashara tupu,japo eneo dogo lakini ukivunja unatoa ghorofa ya maana kwa ajili ya biashara kwahiyo kinachoipa thamani sio nyumba yao bali ni ile ardhi ya pale kwa sasa ni adimu na dili.
Basi iyo nyumba iliyotaka kununuliwa ipo ndani ya kiwanja zaidi ya heka 10. Cheki ilo ghorofa ni MBA gala ni million 500 na bado negotiable kumbuka na hapo madalali wanataka cha juu. Anayeiu, a usikute anata taka million 250View attachment 1623279
 
Huwez kunidanganya lolote kuhusu real estate dar , mwenge Hakuna kiwanja Cha milion 500 labda iwe maheka.


Narudia tena Hakuna..
 
Sasa unashangaa nini? Unafikiri ni vigwaza pale...nenda kamvue mtu eneo hata manzese uone utaambiwa shilingi ngapi..
Huna unalojua wewe dogo kaa kwa kutulia.

Yani manzese Kuna kiwanja Cha milion 500 hahaha. Sehemu ambayo ni skwata , hakuna sewage system, no security systems, Hakuna emergency roads n.k.

Akili za watanzania zimejaa makamasi tembeeni nje muone Nyumba au viwanja vya milion 500.

Milion 500 Ni kama dola 235,000 hivi hiyo hela unakuwa na Nyumba nchi yoyote ya maana duniani kuliko kujibanza hapo manzese kunanuka mavi na joto. Unajenga mjengo wako pembeni wemejaa masikini
 
Laki 300 ndio nini ?


Lete Bei elekezi ya viwanja as per ministry of land hapa.


Unajua Bei elekezi ya viwanja kariakoo ?
 
Acha ubishi buda..nina jamaa yangu anakaa makumbusho wana nyumba pagale tu(kinyumba cha zamani sana kimechoka ukinunua unanua uwanja tu) wamepewa hadi 300M +,mzee wake amekataa japo aliachiwa urithi na baba yake.
Milion 500 ndio milion 300 au hujaelewa nabishia nini ?
 
Unaijua Bilion 2 na milion miatatu wewe,uwoya sepetu daaah unachekesha mkuu,,
Uwoya hata milion 40 hana
Sepetu hata milion 50hana
Ingia Google weweee acha dharau. Why are you judgemental?
 
Nani anawaandikiaga hivi?
Wanadanganya WATU wasiowajua huko nchi za Watu ila sio sisi
 
Acha wivu wewee Toto la kiume
 
We mshamba mkweli...baki hivyo hivyo...Arusha tu mianzini kuna mtu kakataa m300...itakuwa manzese tena barabarani...unaangalia uzuri wa mandhari? Hizo ni center za biashara pimbi wewe..
 
Basi iyo nyumba iliyotaka kununuliwa ipo ndani ya kiwanja zaidi ya heka 10. Cheki ilo ghorofa ni MBA gala ni million 500 na bado negotiable kumbuka na hapo madalali wanataka cha juu. Anayeiu, a usikute anata taka million 250View attachment 1623279
Hiyo kigamboni mzee baba, bado ipo ki residential zaidi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…