Hongera sana kwa kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa Valentina

Hongera sana kwa kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa Valentina

Jamani mshana[emoji8]
1471445938670.jpg
halafu kiwatengu ni ndugu yangu[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Akchware nitumie fursa hii kumpongeza @'Valentina' kwa niaba ya my wife wangu janeth1
kusherekea siku hii muhimu kwake.
Bezikale nikushukuru kiwatengu kwa taarifa hii
muhimu, umefanya vizuri kumpeleka hapo snowcrest, najua yeye alipanga kufanya pale Naroki.
Infwakti hapo snowcrest iishie saa kumi na mbili na
nusu kisha mje tuimalizie hapa Naura Spring Sanawari.
Nipo na Filipo tunaangusha moja baada ya ingine.
Hongera Valentina
Yani leo ntakula mpaka nikome,jiandaeni kunibeba hapo[emoji4]
Halafu msalimie my wife wako,anaonekana kwa tochi sikuhizi, sijui ndo ushamdunga mimba ya20 mana huchelewi wewe[emoji125] [emoji125]
 
Wow...Kiukweli I don't have full words of explaining how the world chear up, ulivyokuja ulimwenguni. Congratulations the Most Beautiful Woman!!

Yaaah we are happy for u! Hongera sana kwa kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa Valentina...

Umebarikiwa na Mungu, umepewa uzuri wa kipekee!
Nikuambie tu, we ni aina ya mwanamke ambaye kila mwanaume anapenda [emoji12] [emoji12] ...
Hongera sana mdada!!
Mungu akuongezee miaka mingi zaidi ya mafanikio na furaha.

Me and my wife love u sana.

View attachment 383245

Karibuni sana to celebration itafanyika ndani ya snowcrest...
Wadau wote, forum zote kuanzia Wakongwe Asprin, Madame B, KOKUTONA, Khantwe, Otorong'ong'o, Chocs, mshana jr, [color=red]Nyani Ngabu[/color] (valentina's former husband)
Mwanyasi, janeth1,......

Makapuku wote, Bitoz, Jimena, quicleg, th name, atoto na wengine woooote.
Karibuni

Kumbe Valentina alishaolewa halafu akaachika???![emoji1]
 
Akchware nitumie fursa hii kumpongeza @'Valentina' kwa niaba ya my wife wangu janeth1
kusherekea siku hii muhimu kwake.
Bezikale nikushukuru kiwatengu kwa taarifa hii
muhimu, umefanya vizuri kumpeleka hapo snowcrest, najua yeye alipanga kufanya pale Naroki.
Infwakti hapo snowcrest iishie saa kumi na mbili na
nusu kisha mje tuimalizie hapa Naura Spring Sanawari.
Nipo na Filipo tunaangusha moja baada ya ingine.
Hongera Valentina

Happy birthday Valentina

Sasa party ya Snow crest vipi bana? Hapafai kwa sasa kutokana na huu Ujenzi wa barabara unaoendelea.

Mimi na mume wangu Filipo tuko hapa Uzunguni Park kwa sasa mtujulishe tukutane wapi. ...
Sisi tumeogopa highway bana. ...
 
Stop it right there!

For one, I don't even know her. Never met her in my life and never had any intention to.

Two, based on the fact above, there is absolutely, positively no way I could be her former husband. Just not my type.

Third, please go back and correct it.
Hahaha wewe jamaa kwa drama ,Happy birthday Valentina
 
Hahaha wewe jamaa kwa drama ,Happy birthday Valentina

Drama gani tena?

Mimi huyo hajawahi kuwa mke wangu.

Sasa habari za u former husband zimetoka wapi tena?

Na mimi kumsahihisha mtu ndo drama?

Nimetajwa kimakosa nami nikaweka rekodi sawa.

Drama iko wapi hapo?
 
Hahahahaha haya bana ,si mke wa jamii forum ??
 
Hahahahaha haya bana ,si mke wa jamii forum ??

Sijawahi kuwa na mke JF.

Sasa hizi habari nyie huwa mnazitoa wapi?

Kwa nini mnapenda kunizushia mambo lakini?

Mara nizushiwe nina sijui ma apartment Masaki na Msasani...mara sijui nimelala na nani....na sasa mnanizushia mambo ya mke.

Come on guys.
 
Hahahaha aisee Ngabu ngoja nikuache,
 
Hahahaha aisee Ngabu ngoja nikuache,

Twaib!

Kama mtu hutaki nisiseme chochote basi niache.

Lakini unaponitaja na/au kuninukuu kuhusu uzushi, nitasema tu.

Hupendi kuona nachosema, leave me the hell alone.

I don't bother nobody until I'm bothered.

As simple as that.
 
Back
Top Bottom