Hongera sana kwa kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa Valentina

Yani leo ntakula mpaka nikome,jiandaeni kunibeba hapo[emoji4]
Halafu msalimie my wife wako,anaonekana kwa tochi sikuhizi, sijui ndo ushamdunga mimba ya20 mana huchelewi wewe[emoji125] [emoji125]
 

Kumbe Valentina alishaolewa halafu akaachika???![emoji1]
 


Happy birthday Valentina

Sasa party ya Snow crest vipi bana? Hapafai kwa sasa kutokana na huu Ujenzi wa barabara unaoendelea.

Mimi na mume wangu Filipo tuko hapa Uzunguni Park kwa sasa mtujulishe tukutane wapi. ...
Sisi tumeogopa highway bana. ...
 
Hahaha wewe jamaa kwa drama ,Happy birthday Valentina
 
Hahaha wewe jamaa kwa drama ,Happy birthday Valentina

Drama gani tena?

Mimi huyo hajawahi kuwa mke wangu.

Sasa habari za u former husband zimetoka wapi tena?

Na mimi kumsahihisha mtu ndo drama?

Nimetajwa kimakosa nami nikaweka rekodi sawa.

Drama iko wapi hapo?
 
Drama gani tena?

Mimi huyo hajawahi kuwa mke wangu.

Sasa habari za u former husband zimetoka wapi tena?

Na mimi kumsahihisha mtu ndo drama?

Nimetajwa kimakosa nami nikaweka rekodi sawa.

Drama iko wapi hapo?
Hahahahaha haya bana ,si mke wa jamii forum ??
 
Hahahahaha haya bana ,si mke wa jamii forum ??

Sijawahi kuwa na mke JF.

Sasa hizi habari nyie huwa mnazitoa wapi?

Kwa nini mnapenda kunizushia mambo lakini?

Mara nizushiwe nina sijui ma apartment Masaki na Msasani...mara sijui nimelala na nani....na sasa mnanizushia mambo ya mke.

Come on guys.
 
Hahahaha aisee Ngabu ngoja nikuache,
 
Hahahaha aisee Ngabu ngoja nikuache,

Twaib!

Kama mtu hutaki nisiseme chochote basi niache.

Lakini unaponitaja na/au kuninukuu kuhusu uzushi, nitasema tu.

Hupendi kuona nachosema, leave me the hell alone.

I don't bother nobody until I'm bothered.

As simple as that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…