Ujue nitakukata mtama wewe[emoji160] [emoji125] [emoji85]
[emoji15] maslahi gani tenayaaani we mbeibe siku nikileta posa itanibidi niombe escort ya polisi, kumbe wenye maslahi na wewe tupo wengi hivi,
Ha haa shauri yako. Anza kuiaga familia yako kabisaWala sio gopi Valentina, Ukipenda boga na ua lake. Hahaha napenda na uhatari wako
Huo mtama huooooUjue nitakukata mtama wewe
[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Tena na hizi buti za kijeda itakuaje sijuiHuo mtama huoooo
Wine yako hiyo[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Halafu unamwangukia juuu?Tena na hizi buti za kijeda itakuaje sijui
Haaaaa umekuja eeee?
Aisee uje umelewa matapu tapu yako na zawadi sijui ya chips aiseee utaishia kupata kipigo tu[emoji1]Haaaaa umekuja eeee?
Zawadi ya chips kuku umeletewa?
Akaaaah wala siji nimelewa... [emoji12]Aisee uje umelewa matapu tapu yako na zawadi sijui ya chips aiseee utaishia kupata kipigo tu[emoji1]
Kuja kipande hii tunakula ng'ombe maana bata mdogo halafu mchafuHappy bethdei shweety!, mnuso wapi, weekend ndo yaja hivoo!
Umeona fwefwe aka mrija?"umkombothi"
Kuja kipande hii tunakula ng'ombe maana bata mdogo halafu mchafu