Hongera sana kwa kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa Valentina

Hongera sana kwa kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa Valentina

Mama minuso Heaven Sent
Whts taking you so long?!, ni kwamba hujasikia kuna mnuso wa Valentina ?

Au umefumba macho? 😀
Hahaha kumbe tulikuwa tunatype a the same time. Yani ndo nataka niombe niwekwe kwenye ratiba ya kutoa "show" lol
...nikataka kushangaa ati mama minuso hujasikia hii, umechelewa dakika moja tu, si mbaya lakini..
 
Back
Top Bottom