Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hahaha me nakuombea baraka zote za rohoni na mwiliniUtajiri? [emoji15] [emoji15] [emoji15] si uniombee mimi
Ooh babu K, how have you been?Heaven Sent... Dah long time no see
Nikiwa mratibu mkuu wa "show" nasema, hoja accepted, kazi ni kwako.....Hahaha kumbe tulikuwa tunatype a the same time. Yani ndo nataka niombe niwekwe kwenye ratiba ya kutoa "show" lol
Nambie mkakaMdada...
Nashukuru sana, shaka ondoeniNikiwa mratibu mkuu wa "show" nasema, hoja accepted, kazi ni kwako.....
Ameni, mipango ya Mungu itimie kwangu na kwakoHahaha me nakuombea baraka zote za rohoni na mwilini
Wote tupo nafikiri, ila hatukutaniUmepotea, au ni mm?
AmenAmeni, mipango ya Mungu itimie kwangu na kwako
Wala msi"kutane"Wote tupo nafikiri, ila hatukutani
Ukifanya show ya Gospel itapendeza
Nani tena aombe pooo? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12]