Hongera sana kwa kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa Valentina

Hehehe!, can't wait for the show.

atoto usichelewe kuja kuona mwanao akitutolea show ya nguvu, MJ ataomba poo huko aliko πŸ˜€
Nataka niue "Dancehall" moja, sihangaiki kukunja miguu, utege automatically unaleta swagga lol. Au niperform song gani?
 
Acha tu.

Mwanyasi hapana kuna kama hii hapa tunaweza changanya pia.
Heaven Sent ntakuunga mkono kwenye show kama utakubali tuige hii style ya jumpsuit na kucheza πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Step yake sawaaaaaaa ila meseji yake sasa kaaah...... Taratibu kui
 
Reactions: kui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…