Sasa mtu kufuata imani yake ni vibaya?Nakumbuka zamani miaka ya 90 shuleni wanafunzi wote(wasichana)walikuwa wanavaa Uniform sawa na maisha yalikuwa yanaenda vizuri tu. Baadae tukashangaa ikaamuliwa watoto wa kike wa Kiislamu kuvaa Hijabu.
Hapo ndo harufu ya udimu ilipoanza kuonekana kwenye taasisi za elimu. Leo kuna shule za kidini , vyuo vya kati hadi vikuu wanasoma watu wa dini fulani tu.Tunaligawa Taifa kwa ujinga wetu.
Tangu nilipothibitisha kwa macho yangu kwamba idadi kubwa na kila siku inaongezeka kwenye ulaji kitimoto nimewadharau sana.Sasa mtu kufuata imani yake ni vibaya?
Kma ww imani yko inakukataza usivae hijabu basi waache waislamu wavae
We umeona wapi Ukifa Nchi yootee itakuja kukuzika kisa ulikua Mzalendo badala yke Watu wa dini yko ndio watakaokuzika
Wagalatia embu punguzeni chuki za kijinga na Uislamu
Udini ni waislam kuvaa tofauti na wenzao tu, kwa wakristo hujaona?Nakumbuka zamani miaka ya 90 shuleni wanafunzi wote(wasichana)walikuwa wanavaa Uniform sawa na maisha yalikuwa yanaenda vizuri tu. Baadae tukashangaa ikaamuliwa watoto wa kike wa Kiislamu kuvaa Hijabu.
Hapo ndo harufu ya udimu ilipoanza kuonekana kwenye taasisi za elimu. Leo kuna shule za kidini , vyuo vya kati hadi vikuu wanasoma watu wa dini fulani tu.Tunaligawa Taifa kwa ujinga wetu.
Huna point zaidi ya kupaniki.Sasa mtu kufuata imani yake ni vibaya?
Kma ww imani yko inakukataza usivae hijabu basi waache waislamu wavae
We umeona wapi Ukifa Nchi yootee itakuja kukuzika kisa ulikua Mzalendo badala yke Watu wa dini yko ndio watakaokuzika
Wagalatia embu punguzeni chuki za kijinga na Uislamu
Imajen masai nao wapeleke madai yao Balaza la Elimu kutaka wanao wavae Lubega kwasababu ni Tamaduni zao za Asili.Nakumbuka zamani miaka ya 90 shuleni wanafunzi wote (wasichana) walikuwa wanavaa Uniform sawa na maisha yalikuwa yanaenda vizuri tu. Baadae tukashangaa ikaamuliwa watoto wa kike wa Kiislamu kuvaa Hijabu.
Hapo ndo harufu ya udimu ilipoanza kuonekana kwenye taasisi za elimu. Leo kuna shule za kidini , vyuo vya kati hadi vikuu wanasoma watu wa dini fulani tu.Tunaligawa Taifa kwa ujinga wetu.
Wewe ndiye upo nyuma ya muda fikicha macho hayo uone vizuri.Leo tarehe 29/05/2022 Ina maana mtangazaji yupo mbele ya muda.
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Miaka hiyo hiyo ya 90, kuanzia 92 hadi 95 kulizuka wimbi la viongozi wa dini kuja mashuleni kugawa biblia (agano jipya) zile ndogo hivi za blu kwa wanafunzi bila kujali shule hizo ni za umma, tena zina wanafunzi wa dini tofauti au la. Je ule nao haukuwa udini?Nakumbuka zamani miaka ya 90 shuleni wanafunzi wote (wasichana) walikuwa wanavaa Uniform sawa na maisha yalikuwa yanaenda vizuri tu. Baadae tukashangaa ikaamuliwa watoto wa kike wa Kiislamu kuvaa Hijabu.
Hapo ndo harufu ya udimu ilipoanza kuonekana kwenye taasisi za elimu. Leo kuna shule za kidini , vyuo vya kati hadi vikuu wanasoma watu wa dini fulani tu.Tunaligawa Taifa kwa ujinga wetu.
Nafikiri akisoma post yangu ya #11 ataelewa kuwa hao anaoona hawana udini ndio walioleta udini mkubwa Tanzania.Udini ni waislam kuvaa tofauti na wenzao tu, kwa wakristo hujaona?
Matumizi mabaya ya kufkiri haya. Akili unazo mkuu ila unazitumia vibaya Kwa ufikriaji wa namna hii. Usawa sio lazima wote tuvae nguo zinazofanna au tunyoe viduku nchi nzima. Utofauti wetu kidini, kikabila na uchumi uko pale, hatuwez kuuondoa kamwe. Kinachozungumziwa hapa ni kuzuia uwezakano wa hizi tofauti kutumika kama silaha ya kuinua kikundi kimoja juu ya wengine. Sikubaliani na hoja yako ya mavazi Kwa waislam na wakristo kuwa tatizoNakumbuka zamani miaka ya 90 shuleni wanafunzi wote (wasichana) walikuwa wanavaa Uniform sawa na maisha yalikuwa yanaenda vizuri tu. Baadae tukashangaa ikaamuliwa watoto wa kike wa Kiislamu kuvaa Hijabu.
Hapo ndo harufu ya udimu ilipoanza kuonekana kwenye taasisi za elimu. Leo kuna shule za kidini , vyuo vya kati hadi vikuu wanasoma watu wa dini fulani tu.Tunaligawa Taifa kwa ujinga wetu.
Mimi nilikwambia.Nani alikuambia Nyerere ni Baba wa taifa?
We jamaa ujue ni mjinga kupitiliza wwHuna point zaidi ya kupaniki.
Serikali haina dini, hatuhitaji hijabu za kazi gani kwa wanafunzi.
Ni ujinga tu..
#MaendeleoHayanaChama
Sisi tunafuata Uislamu unavosema sio Muislam katenda dhambi unausema UislamuTangu nilipothibitisha kwa macho yangu kwamba idadi kubwa na kila siku inaongezeka kwenye ulaji kitimoto nimewadharau sana.
Unakuta huku wanapiga makanzu na hijabu lakini haohao wanawaagiza bodaboda wawaletee kwa siri!