Hongera sana Precious Honey Faith

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
18,585
Reaction score
16,780
Yaaah! Mungu ni mwema sana.
Ni raha na burudani kuwa na rafiki mzuri kama wewe!!

Hakika Mungu siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita alituletea duniani kitu kilichochema na kizuri mno. Honey Faith
Hongera sana kwa kusherekea siku yako ya kuzaliwa.
Ninakutakia miaka mingi zaidi ya furaha na mafanikio hapa duniani na hata milele.

Enjoy your mid 20's...

In extra!! hongera kwa kuzaliwa mzuri na mrembo. [emoji12] [emoji12] ...

 
Ahahahaahaha yaani umesoma early 20’s ukaona kiumri anafaa, sasa kilichobaki uone sura ili uende kabisa kwenye mahusiano..!! Kuna watu mna mahesabu ya mbali balaa

Happy Birthday kwa MZALIWA WA LEO
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ahahahaahaha yaani umesoma early 20’s ukaona kiumri anafaa, sasa kilichobaki uone sura ili uende kabisa kwenye mahusiano..!! Kuna watu mna mahesabu ya mbali balaa

Happy Birthday kwa MZALIWA WA LEO
Kweli kabisa[emoji23] [emoji23] inabidi tuchangamkie fursa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…