Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Yeye anafahamu,subiri aje!Unamaana gani braza?
mwambie ana mguu mzuriii!Amen!!
Happy birthday FaithYaaah! Mungu ni mwema sana.
Ni raha na burudani kuwa na rafiki mzuri kama wewe!!
Hakika Mungu siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita alituletea duniani kitu kilichochema na kizuri mno. Honey Faith
Hongera sana kwa kusherekea siku yako ya kuzaliwa.
Ninakutakia miaka mingi zaidi ya furaha na mafanikio hapa duniani na hata milele.
Enjoy your mid 20's...
In extra!! hongera kwa kuzaliwa mzuri na mrembo. [emoji12] [emoji12] ...
View attachment 389251
MI nadhani uipe 'power' kabisa maana zidisha nayo namba ikiwa ndogo miyeyusho unachelewa zaidi.ha ha ha ha kujiongoza kwa style ya mara(zidisha) kwa sababu jumlisha sometimes inachelewesha.
We love you too, you are blessed to have such beautiful legs😛Thanks wapendwa wangunwote.Love you all
Usije watisha watu usiku washindwe kulalaNgoja nimuulize akikubali nitakatupia
How I wish ingekuwa yangu.....We love you too, you are blessed to have such beautiful legs😛
Nikiiona[emoji12] na mimi utaniambia lini?
Haujapinduliwa ila kuwa kwako busy nakutana na good friends kama kiwatengu wanajua kucare.....Hapy birthday sexy babe
leo siku ya kuibusubusu miguu yako mizuri
halau how come Kiwatengu ndo anajua kuliko mmiliki wa koloni mwenyewe?nimepinduliwa?