Hongera sana Precious Honey Faith

Hongera sana Precious Honey Faith

Yaaah! Mungu ni mwema sana.
Ni raha na burudani kuwa na rafiki mzuri kama wewe!!

Hakika Mungu siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita alituletea duniani kitu kilichochema na kizuri mno. Honey Faith
Hongera sana kwa kusherekea siku yako ya kuzaliwa.
Ninakutakia miaka mingi zaidi ya furaha na mafanikio hapa duniani na hata milele.

Enjoy your mid 20's...

In extra!! hongera kwa kuzaliwa mzuri na mrembo. [emoji12] [emoji12] ...

View attachment 389251
Happy birthday Faith
 
Haja ka' besideigelo nako sio,
Nakapigia hakapatikani.

Ambae anako Jirani akafahamishe ninayo zawadi nono maalum.
 
Hapy birthday sexy babe

leo siku ya kuibusubusu miguu yako mizuri

halau how come Kiwatengu ndo anajua kuliko mmiliki wa koloni mwenyewe?nimepinduliwa?
 
Hapy birthday sexy babe

leo siku ya kuibusubusu miguu yako mizuri

halau how come Kiwatengu ndo anajua kuliko mmiliki wa koloni mwenyewe?nimepinduliwa?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kuwa na amani. Honey faith ni best friend tu!!
 
Back
Top Bottom