Asalam Aleykum.
Leo katika pita pita yangu kwenye taarifa mbalimbali, nimevutiwa sana kumwona Mh. Rais Samia akiwa sokoni, huku akinunua baadhi ya bidhaa na kuahidi kuwapa mitaji baadhi ya wajasiriamali wadogo wadogo.
Binafsi nimejisikia faraja na namwombea aendelee kuwajali wananchi wa hali ya chini na kufanya kila linalowezekana kuhakikisha anawapunguzia makali ya maisha.
Mungu Ibariki Tanzania.
Mungu mbariki Rais wetu,
Amina.