ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Sopu kamaliza pakti unaambiwa!Leo utopolo wamekuingiza kwenye vitabu vya kumbukumbu, jina lako litaendelea kutajwa kama miongoni mwa wachezaji waliowahi kuwafunga Yanga SC hat trick.
Tena, hat trick yako ni nzito zaidi kwa sababu umewafunga kwenye mechi ya fainali ya kombe la ASFC.
Hongera sana kwa kuonesha Tanzania tuna watu wenye uwezo wa kupiga kazi zaidi ya Mayele aliyepata support ya kila aina toka kwa wachezaji wenzake, na kelele za mashabiki wake.
Kwa kazi aliyoifanya SOPU leo, amethibitisha hata G. Mpole kubeba kiatu cha dhahabu ni uwezo, sio bahati, Tanzania tunaanza kupata washambuliaji hatari tena.
Sura za makolo wakifuatilia ubingwa wa YangaMakolo wanavyoifuatilia Yanga kiasi kwamba hata hawajui matokeo ya timu lao match 2 za mwisho ligi
Wamevurugwa makoloSura za makolo wakifuatilia ubingwa wa Yanga
Raha unayo weweHat trick fc wamechukua ubingwa ila hawana raha
Kwa hiyo George Mpole kwa sasa ni zilipendwa! Habari ya mjini ni Sopu.Leo utopolo wamekuingiza kwenye vitabu vya kumbukumbu, jina lako litaendelea kutajwa kama miongoni mwa wachezaji waliowahi kuwafunga Yanga SC hat trick.
Tena, hat trick yako ni nzito zaidi kwa sababu umewafunga kwenye mechi ya fainali ya kombe la ASFC.
Hongera sana kwa kuonesha Tanzania tuna watu wenye uwezo wa kupiga kazi zaidi ya Mayele aliyepata support ya kila aina toka kwa wachezaji wenzake, na kelele za mashabiki wake.
Kwa kazi aliyoifanya SOPU leo, amethibitisha hata G. Mpole kubeba kiatu cha dhahabu ni uwezo, sio bahati, Tanzania tunaanza kupata washambuliaji hatari tena.
Sopu kamaliza pakti unaambiwa!View attachment 2279481
Sawa,wape mudaLeo utopolo wamekuingiza kwenye vitabu vya kumbukumbu, jina lako litaendelea kutajwa kama miongoni mwa wachezaji waliowahi kuwafunga Yanga SC hat trick.