Hongera sana SOPU

Hongera sana SOPU

Leo utopolo wamekuingiza kwenye vitabu vya kumbukumbu, jina lako litaendelea kutajwa kama miongoni mwa wachezaji waliowahi kuwafunga Yanga SC hat trick.

Tena, hat trick yako ni nzito zaidi kwa sababu umewafunga kwenye mechi ya fainali ya kombe la ASFC.

Hongera sana kwa kuonesha Tanzania tuna watu wenye uwezo wa kupiga kazi zaidi ya Mayele aliyepata support ya kila aina toka kwa wachezaji wenzake, na kelele za mashabiki wake.

Kwa kazi aliyoifanya SOPU leo, amethibitisha hata G. Mpole kubeba kiatu cha dhahabu ni uwezo, sio bahati, Tanzania tunaanza kupata washambuliaji hatari tena.
Sopu kamaliza pakti unaambiwa!
IMG-20220702-WA0037.jpg
 
Kwa hiyo George Mpole kwa sasa ni zilipendwa! Habari ya mjini ni Sopu.

Kazi kweli kweli.
 
Niendelee kuwapongeza kwa dhati kabisa SOPU na Mpole kwa kuonesha utopolo walivyo laini uwanjani.
 
sasa Sopu na Mpole kubeba kiatu kuna uhusiano gani mkuu
Wote ni wafungaji wanaojielewa kwenye ligi kuu yetu zaidi ya yule mkongomani aliyekuwa anatetemeka kila siku uwanjani
 
Leo utopolo wamekuingiza kwenye vitabu vya kumbukumbu, jina lako litaendelea kutajwa kama miongoni mwa wachezaji waliowahi kuwafunga Yanga SC hat trick.

Tena, hat trick yako ni nzito zaidi kwa sababu umewafunga kwenye mechi ya fainali ya kombe la ASFC.

Hongera sana kwa kuonesha Tanzania tuna watu wenye uwezo wa kupiga kazi zaidi ya Mayele aliyepata support ya kila aina toka kwa wachezaji wenzake, na kelele za mashabiki wake.

Kwa kazi aliyoifanya SOPU leo, amethibitisha hata G. Mpole kubeba kiatu cha dhahabu ni uwezo, sio bahati, Tanzania tunaanza kupata washambuliaji hatari tena.
Sawa,wape muda
 
Back
Top Bottom