Hongera sana Suma Lee, Mzee Yusuph ameshindwa

Hongera sana Suma Lee, Mzee Yusuph ameshindwa

Bwana Yesu pekee, Aliyekufa msalabani na kufufuka siku ya tatu ndiye mwenye uwezo wa kum'badilisha mtu. Ndiye pekee awezeye kumkomboa na kumuokoa mwanadamu aliyedhibitiwa na dhambi.

YESU NI BWANA.
 
Mzee sumalee yuko njema sana kipesa
Sio sawa na mzee yusuph
Mzee mbona bado mapema kumpongeza sumalee...vp mwakan nayeye akirud Utakuja kufuta uzi au? Na mwisho wa yote Mungu mwenyew ndio anajua ukwel...unayajua yote ya sumalee?
 
Mzee sumalee yuko njema sana kipesa
Sio sawa na mzee yusuph
Bro Kukaa kweny iman,mapito sio pesa peke yake...mitihan ni Mingi zaid ya pesa...lakin pia unaweza kukaa kweny iman na mwisho wa siku Usiwe kama tunavyo kuona.. ndio maana nikasema Hizi kesi sio za binadam kuamua..Mungu mwenyew ndio anamjua wake ni nani.

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Hapo nimekuelewa mkuu

Mpaka Sasa aliweza kumudu kwa muda mrefu,Kali p,mzee wa imekaa vibaya
 
Suma Lee ni fala tu, dini ya Waarabu hii, Kibongobongo wanaitwa wazee wa mchele.
 
Kwa hatua uliyokuwa umefikia kwa kipaji chako cha mziki..hakika haikua kazi nyepesi kupambana na nafsi yako na kuacha kabisaa mziki wa dunia na kumrudia Muumba wako na kukubali kuanza upya katika maisha mapya.

Pole Mzee Yusuph kwa kushindwa kupambana na nafsi yako na kuamua kurudi tena kwenye mziki wa taarab.

Kubadilisha staili ya maisha ya kidunia ni kazi sana hadi ujizatiti na kufumbia macho kila kitu..

We are the one,we are the children.
Mzee Yusuf atafute riziki yake tu maana hamdhuru mtu.

Wanaojifanya wanamcha Mungu ni makatili wakubwa, kwao kikubwa pesa na madaraka tu.

Mufti anaishi kwa hisani ya CCM wanaopiga watu rusasi.

Uamsho wako jela yeye anakunywa wine na watesi.

Shekh mkuu wa mkoa yeye kutwa na wauaji.

#RIPAkwilini Pole

#Tundu Lissu

Hata wanaojifanya wacha Mungu hawaoni madhila yaliyowakuta.

Bora kuwa muumini wa utu kuliko kuwa muumini wa kina Masanja.
 
Back
Top Bottom