Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Mzee mbona bado mapema kumpongeza sumalee...vp mwakan nayeye akirud Utakuja kufuta uzi au? Na mwisho wa yote Mungu mwenyew ndio anajua ukwel...unayajua yote ya sumalee?
Bro Kukaa kweny iman,mapito sio pesa peke yake...mitihan ni Mingi zaid ya pesa...lakin pia unaweza kukaa kweny iman na mwisho wa siku Usiwe kama tunavyo kuona.. ndio maana nikasema Hizi kesi sio za binadam kuamua..Mungu mwenyew ndio anamjua wake ni nani.Mzee sumalee yuko njema sana kipesa
Sio sawa na mzee yusuph
Kwa kubeba poda ndio imemfikisha hapo,hakuna dini wala kumcha munguMzee sumalee yuko njema sana kipesa
Sio sawa na mzee yusuph
Bro Kukaa kweny iman,mapito sio pesa peke yake...mitihan ni Mingi zaid ya pesa...lakin pia unaweza kukaa kweny iman na mwisho wa siku Usiwe kama tunavyo kuona.. ndio maana nikasema Hizi kesi sio za binadam kuamua..Mungu mwenyew ndio anamjua wake ni nani.
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Kwa kubeba poda ndio imemfikisha hapo,hakuna dini wala kumcha mungu
Mzee Yusuf atafute riziki yake tu maana hamdhuru mtu.Kwa hatua uliyokuwa umefikia kwa kipaji chako cha mziki..hakika haikua kazi nyepesi kupambana na nafsi yako na kuacha kabisaa mziki wa dunia na kumrudia Muumba wako na kukubali kuanza upya katika maisha mapya.
Pole Mzee Yusuph kwa kushindwa kupambana na nafsi yako na kuamua kurudi tena kwenye mziki wa taarab.
Kubadilisha staili ya maisha ya kidunia ni kazi sana hadi ujizatiti na kufumbia macho kila kitu..
We are the one,we are the children.
Watu Wa kidunia wanasaidiana na wana umoja kuliko watu Wa dini. Kwenye dini ukifulia unaachwa pekeako.Mzee Yusuph amechoka kushindia vitumbua.
Sijaelewa, kwamba Suma Lee kaamua kujisalimisha kwa Bwana Yesu, ? Au ...
JESUS IS LORD!