Hongera sana TAKUKURURU Wilaya ya Rungwe kama ni kweli

Hongera sana TAKUKURURU Wilaya ya Rungwe kama ni kweli

okiwira

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Posts
2,856
Reaction score
3,003
Hamjachukua muda mrefu kuchukua hatua baada ya kusikia malalamiko ya baadhi ya wananchi MBEYA RUNGWE kata ya IKUTI PALE BUTONGA.

Walau wenda viongozi wa kata na kijiji IKUTI RUNGWE wataamka na kutambua huu sio wakati wa kutishana bali uwajibikaji.

Japo mkimaliza uchunguzi wenu kuna waamuzi wataamuwa KISIASA walalamikaji ni wanachadema ingali sio kweli mtakuwa mmefanya uchunguzi wenu ila walau mtakuwa mmefikisha kwa viongozi wanaofanya kazi kimazoea.

NAAMINI WATATAMBUA SASA KUWA UONGOZI SIO KUTISHANA BALI NI DHAMANA.

#UZENI MAENEO YA WAZI KWA MANUFAA YA WOTE.
 
Back
Top Bottom