Hongera sana TISS kwa kazi nzuri sana awamu ya tano

Hongera sana TISS kwa kazi nzuri sana awamu ya tano

moma2k

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2010
Posts
1,093
Reaction score
1,408
TISS mnafanya kazi nzuri sana.Kila mtu mwenye akili timamu na mzalendo anajua hilo. You are doing a wonderful job for our great nation. Mnasitahili sifa zote. Mungu awabariki sana.

Nchi sasa iko barabarani. Mambo ya msingi yote yanaenda vizuri. Mpango wa kujenga bwawa la umeme huko Rufiji ndo habari ya mjini. Megawat 2100 siyo mchezo. Ulinzi wa Raisi wa jana kuingia viwanja vya sababu ulitisha.

Hatujawahiona uwezo wa TISS wa hali ya juu wa kumlinda Commander in Chief of the Armed forces kama ule. TISS you are good in all terms.Keep it up. We love you, we respect you. Songeni mbele kwa mwendo huo. Tutafika.

I am proud of our TISS.
 
.......Ulinzi wa Raisi wa jana kuingia viwanja vya sabasaba ulitisha.......

Tafsiri yake moja tu,kuwa amani ya nchi hakuna kama zamani,hata enzi za vita vya Kagera Mwlm Nyerere hakuwa na ulinzi huo kama tuko Somali Land ama Kabul,achilia mbali enzi za Mkapa,Mwinyi na Kikwete!!

............Mpango wa kujenga bwawa la umeme huko Rufiji ndo habari ya mjini. Megawat 2100 siyo mchezo........

Tulihubiriwa sana kuwa uvunaji wa gesi Mtwara ndio suluhu ya umeme wa uhakika,tutauza mpaka nje!!! Leo tunahangaika Uganda na Ethiopia kupata UMEME!!!
 
Kukutaarifu tu TAMISEMI wanafanya uchunguz juu ya upotevu wa zaidi ya mil 200 juzi Jafo amesema.

Na leo vichwa vya treni vimekutwa huko vimesukumwa nje ya bahar havijulikani vya nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom