Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] mkuu mbona unatia aibu Mara TISS kumlinda rais mala bwawa la rufiji mala megawati 2100 hueleweki nn hasa ulilenga kudadavua au kukisifu kati ya hivyo....humu sio facebook mkuu[emoji15] [emoji15]TISS mnafanya kazi nzuri sana.Kila mtu mwenye akili timamu na mzalendo anajua hilo. You are doing a wonderful job for our great nation. Mnasitahili sifa zote. Mungu awabariki sana.
Nchi sasa iko barabarani. Mambo ya msingi yote yanaenda vizuri. Mpango wa kujenga bwawa la umeme huko Rufiji ndo habari ya mjini. Megawat 2100 siyo mchezo. Ulinzi wa Raisi wa jana kuingia viwanja vya sababu ulitisha.
Hatujawahiona uwezo wa TISS wa hali ya juu wa kumlinda Commander in Chief of the Armed forces kama ule. TISS you are good in all terms.Keep it up. We love you, we respect you. Songeni mbele kwa mwendo huo. Tutafika.
I am proud of our TISS.
Taasisi ya Urais inalindwa na idara nyingi tu za usalama wa nchi...Hivi TISS ndo walinzi wa rais kwani?
Mi siku zote huwa nadhani walinzi wa rais ni tofauti kabisa na hao sijui ndo TISS.....
But what do I know....