Hongera sana TISS kwa kazi nzuri sana awamu ya tano

Hongera sana TISS kwa kazi nzuri sana awamu ya tano

Ni matumaini yangu hujawahi kuandika maneno yoyote ya kashfa dhidi ya serikali tangu umejiunga JF la sivyo suburi siku Maxence Melo atakapokubali matakwa ya serikali pale mahakamani ndipo utakapojua TISS ni wa kusifiwa au kuogopwa. Unaposikia wabunge wanalalamika watu kupotea ktk mazingira yasioeleweka unafikiri ni kazi ya nani? Wale walinzi wa mheshimiwa labda tuwaite Secret Service, TISS aka Usalama wa Taifa tupo nao mitaani, ndani ya daladala na hata maofisini kiasi ambacho wengine tunafahamiana nao, labda kama unajisifia mwenyewe!!!
Haaya bwana naona unaamua kuichafua Idara nyeti sasa wewe unapenda kuikashifu na kuitukana Serikali au kukosoa kwa kujenga hoja
 
Acha majungu. TISS ya sasa naipenda sana. Ningekuwa siyo mwanasheria ningeomba kujiunga nao for th public interest.

Duuh wewe umesomea sheria ungejua tangu mwanzoni ungesomea shahada ya tiss. Bachelor of tiss.



Na washawasha!
 
Kadri ulinzi wa mkuu wa kaya unavyozidi kuwa mkubwa unatakiwa ujiulize kulikoni???

Viongozi wote wanaopendwa duniani huwa hawahitaji ulinzi mkubwa.

Kwa hiyo ushauri wako ni huyu wa kwetu apunguze ulinzi kwa vile anapendwa na mafisadi au sijakuelewa?


Na washawasha!
 
Sema tu kiongozi mzuri kwa mujibu/mtazamo wako ni yule aliye karibu na wabaka nchi.


Na washawasha!






Kisa walimrundikia walinzi ndo unaona wanafanya kazi yao vizuri? Kama unafikiri hilo linasaidia kamwulize Ghadaffi....hii nchi ni ya amani sana tatizo kapewa mtu mwenye majivuno , kiburi na ulevi wa madaraka basi muda si mrefu atataka alindwe kabisa na helcopter za kijeshi na magari ya deraya, hajui kiongozi mzuri ni yule aliye karibu na raia siyo na vyombo vya ulinzi...hawa wakichoka vituko vyake watamtolea dirishani!
 
Kwani TISS ndo huwa ni walinzi wa rais?

Hili suala ni mnasadiki tu au mnalijua kwa uhakika?
Kwenye TISS kuna kitengo kinaitwa PSU hiki ndio kina deals na Protection ya viongozi wa Rank ya Juu akiwemo Raisi
 
NSA Ndo humlinda Raisi mkuu. Ingawa kuna kitengo ndani yake chenye kufanya Kazi hiyo.
POTUS, Trump analindwa na Secret Service kupitia kitengo kinaitwa President Protection Division (PPD) Icho kitengo kinawalinda wale the Five Big sambamba na Familia zao
 
Wewe
Kukutaarifu tu TAMISEMI wanafanya uchunguz juu ya upotevu wa zaidi ya mil 200 juzi Jafo amesema.

Na leo vichwa vya treni vimekutwa huko vimesukumwa nje ya bahar havijulikani vya nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ni babu jinga tu.... Hujuwi kitu
 
POTUS, Trump analindwa na Secret Service kupitia kitengo kinaitwa President Protection Division (PPD) Icho kitengo kinawalinda wale the Five Big sambamba na Familia zao
Shukran kwa ufafanuzi.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
POTUS, Trump analindwa na Secret Service kupitia kitengo kinaitwa President Protection Division (PPD) Icho kitengo kinawalinda wale the Five Big sambamba na Familia zao
1. President
2. Vice President
3. Secretary of State
4. Defence Secretary
5. Speaker of the House

Chief Economist
 
.......Ulinzi wa Raisi wa jana kuingia viwanja vya sabasaba ulitisha.......

Tafsiri yake moja tu,kuwa amani ya nchi hakuna kama zamani,hata enzi za vita vya Kagera Mwlm Nyerere hakuwa na ulinzi huo kama tuko Somali Land ama Kabul,achilia mbali enzi za Mkapa,Mwinyi na Kikwete!!

............Mpango wa kujenga bwawa la umeme huko Rufiji ndo habari ya mjini. Megawat 2100 siyo mchezo........

Tulihubiriwa sana kuwa uvunaji wa gesi Mtwara ndio suluhu ya umeme wa uhakika,tutauza mpaka nje!!! Leo tunahangaika Uganda na Ethiopia kupata UMEME!!!
acha alindwe mzee nyerere hakutoa madudu ya watu hakukuana mafisad kama sasa.....
Jamaa kagusa nyeti za watu ni rahis wakamdungua so ni vema akapewa ulinz tena hata hivyo huo hautosh na maombi yako yanahitajika kwakwe
 
Kweli viwanja vya sababu [emoji16]

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Back
Top Bottom