Hongera sana Tundu Lissu kwa ushindi wako lakini shughulikia changamoto hizi

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Hongera Sana Tundu Lissu kwa Ushindi Wako—Lakini Changamoto Zinaanza

  1. Timu yako ilitumia mbinu ngumu na zenye madhara kwa demokrasia nchini, hasa dhidi ya mlezi na kiongozi wenu ndani ya chama, Freeman Mbowe.
  2. Kejeli na dharau alizofanyiwa Mbowe kupitia Lema zimewapa ushindi wa muda mfupi, lakini zitakuja na maumivu ya muda mrefu katika uongozi wako. Mfano hai ni jinsi Lema alivyochapisha kitabu chake na kukiita "Udhalimu wa Mbowe ndani ya Chadema," kisha akakiweka wazi kwenye ukurasa wake wa X.
  3. Uliahidi siasa mpya na kujaribu kumchora Mbowe kama mtu aliyeshindwa—ukidai hana mvuto, hakubaliki, na anatumika na serikali. Sasa, dalili zinaanza kujitokeza. Juzi, baada ya Mnyika kuzuiliwa kufanya mkutano na waandishi wa habari, wengi walitegemea vijana wa BAVICHA wasimame imara tofauti na "ulegelege" uliolaumiwa kwa Mbowe. Lakini cha kushangaza, Lema naye analalamika kwenye X, na watu wanamuuliza: "Mbona kama ya Mbowe? Lissu yuko wapi?"
  4. Kukosa uvumilivu ndani ya timu yako kumeanza kujionyesha mapema. Mdude ameanza kulalamika kwamba kila mara viongozi wa Chadema wanapokosoa CCM kwenye X, wanajibiwa na maswali: "Kwani utawala wa Mbowe ulikuwa wa asali? Si mlichosema utawala wa simba umekuja na shubiri? Bado mnalalamika kwenye mitandao?"
Kwa leo ni hayo tu. Nimetoka kifungoni
 
Kuna kundi bado haliamini kama Mbowe sio mwenyekiti tena, ndiyo maaana tulikua tunashauri Mbowe ajitoe mapema ili kuepusha ligi na vijana wake aliowalea yeye akakaza shingo vijana wakafanya yao press mbili tatu mzee chali
 
 

Attachments

  • IMG_1363.jpeg
    99 KB · Views: 4
Wewe jamaa umetokaje kifungoni na uliomba life ban? Mods hamfanyi fair
 
Lakini wewe si ulipigwa ban ya maisha? Imekuaje bado una exist? imhotep ?
 
Shwaini
 
Shughulika na sisiyemu yenu, huna la kumfundisha Tundu Lissu
 
Aaah mods not fair at all. Mleta mada aliomba life ban bana
 
Aaah mods not fair at all. Mleta mada aliomba life ban bana
Hata Lema alimwita Mbowe mlarushwa na mtekaji wa akina soka. Lkn juzi anataka Mbowe anunuliwe gari. Ndio maisha yetu uyakubali tu
 
Mbowe yupo nyumban mnaanza tena kuogopa kivuli chake wakat chama amewaachia...
NAWAAMBIA MIEZI MICHACHE IJAYO MABANGO YATAJAA MAKAA MAKUU YA CHADEMA YAKIMTAKA MBOWE ARUDI KWENYE NAFASI...
 
Eti Lissu ataitoa madarakani ccm? Acheni utani
Nasikia huyu Lissu ndiye alikutoa usichana wako kisha akakuacha ndiyo hasira juu yake haziishi. Punguza chuki kwani kidude chako si amekuachia unacho mwenyewe? Wacha hizo dada wengi tu tumewakata seal na hatujawaoa wala hawana chuki maisha yanaendelea.
 
Kwa matusi nyinyi. Mumemtukana mzee wenu mbowe kisa madaraka ya chama tu. Haya mushapata tuone kama mtaambulia hata mbunge 1
 
Kwani kambi FAM walitumia mbinu nyepesi? zao ndo zilikua Mbaya za kuweka watu kwenye Makambi .

Uchaguzi umeisha kwisha, watu kama Yeriko kuongea kwa kujiamini walishajua wamemaliza mchezo, na kama sivyo hata izo Kura FAM alipata asingeweza kuzipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…