KIDUNDULIMA
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 966
- 540
kikiendelea kudhihirisha kuwa ni chuo kikongwe na chenye ubunifu wa hali ya juu, UDSM wametoa orodha ya FIRST YEAR LOAN ALLOCATIONS FOR 2012/2013 ACADEMIC YEAR - BATCH NUMBER 1 kwa ajili ya kuwapunguzia usumbufu vijana wa mwaka wa kwanza namna ya kubadili mkopo kwenda kwenye %. Kwa wale wanaotaka kuona orodha hiyo nimeiambatanisha hapa au watembelee web ya UDSM. Nimejaribu kutembelea web za baadhi ya vyuo sijaona ubunifu wa namna hii. Keep it up UDSM na hohereni sana.
Nawasilisha
samahan kaka hivi na MUCE wametoa hii list?
vyuo..karibu vyote vimetoa nimetembelea SUA na wao wametoa