Hongera sana UDSM kwa kuonyesha njia big up!

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2010
Posts
966
Reaction score
540
kikiendelea kudhihirisha kuwa ni chuo kikongwe na chenye ubunifu wa hali ya juu, UDSM wametoa orodha ya FIRST YEAR LOAN ALLOCATIONS FOR 2012/2013 ACADEMIC YEAR - BATCH NUMBER 1 kwa ajili ya kuwapunguzia usumbufu vijana wa mwaka wa kwanza namna ya kubadili mkopo kwenda kwenye %. Kwa wale wanaotaka kuona orodha hiyo nimeiambatanisha hapa au watembelee web ya UDSM. Nimejaribu kutembelea web za baadhi ya vyuo sijaona ubunifu wa namna hii. Keep it up UDSM na hohereni sana.

Nawasilisha
 
Attachments

hiyo huwa inatolewa na vyuo olmost vyote, last year mbna zilitoka, bt nliona kwa vya serikali tu,
 
kikiendelea kudhihirisha kuwa ni chuo kikongwe na chenye ubunifu wa hali ya juu, UDSM wametoa orodha ya FIRST YEAR LOAN ALLOCATIONS FOR 2012/2013 ACADEMIC YEAR - BATCH NUMBER 1 kwa ajili ya kuwapunguzia usumbufu vijana wa mwaka wa kwanza namna ya kubadili mkopo kwenda kwenye %. Kwa wale wanaotaka kuona orodha hiyo nimeiambatanisha hapa au watembelee web ya UDSM. Nimejaribu kutembelea web za baadhi ya vyuo sijaona ubunifu wa namna hii. Keep it up UDSM na hohereni sana.

Nawasilisha

samahan kaka hivi na MUCE wametoa hii list?
 
[/quote]

hajatoa ila unaweza kuangalia kiwango cha mkopo wa koz yako udsm.kwan ada ya ud na muce ni moja then utajua
 
Huna jipya wewe hao ni bodi ndo wametoa hivyo na sio udsm,tembelea vyuol vyote uone km sio mtindo huohuo.......jipange kwanza.
 
acha sifa za kitoto kwani kuna chuoambacho hakijafanya hivo? be update dogo
 
Back
Top Bottom