Hongera sana Waziri Kitila Mkumbo juu ya Katiba Mpya

njaa mbaya hata hum JF tunae mmoja anaitwa Pascal Mayalla kikwetu maana yake ni njaa,
Huyo Mayalla alishindwa kuufanyia kazi wimbo wa VUNJA MIFUPA WAKATI BADO MENO YAPO
 
Kwa ujumla nafikiri kuna la kujifunza ktk kuziendea kwetu siasa na mustakabali wa maisha yetu binafsi.....napata hisia kuwa hawa wanasiasa wanajua wanalolifanya hawa. Ameongelewa kitila hapa, mi nawagusia wengine;
1. Viongozi wote wa chadema (isipokuwa dr slaa) kumpokea lowassa kwa shangwe 2015
2. Mbowe kugeuka kuwa mwenyekiti wa kudumu wa chadema (katiba ilibidi ifumuliwe kwa ajili yake)
3. Wabunge kibao wa chadema kuunga mkono juhudi n.k
 
njaa mbaya hata hum JF tunae mmoja anaitwa Pascal Mayalla kikwetu maana yake ni njaa,
Screenshot_20210803-070449_Chrome.jpg

huyu njaa yake iliingia mpaka kwenye mifupa na blood vessels
 
Kwa ujumla nafikiri kuna la kujifunza ktk kuziendea kwetu siasa na mustakabali wa maisha yetu binafsi.....napata hisia kuwa hawa wanasiasa wanajua wanalolifanya hawa. Ameongelewa kitila hapa, mi nawagusia wengine;
1. Viongozi wote wa chadema (isipokuwa dr slaa) kumpokea lowassa kwa shangwe 2015
2. Mbowe kugeuka kuwa mwenyekiti wa kudumu wa chadema (katiba ilibidi ifumuliwe kwa ajili yake)
3. Wabunge kibao wa chadema kuunga mkono juhudi n.k
Ccm kuendelea kuogopa kuanzishwa kwa mchakato wa katiba mpya nalo ni janga kubwa sana na ombwe la uongozi kwa taifa.
 
Back
Top Bottom