Hongera sana Yamoto!jana walikuwa live bbc swahili

Hongera sana Yamoto!jana walikuwa live bbc swahili

mimikaye

Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
88
Reaction score
48
Jana madogo walikuwa live bbc swahili londn na leo wanatumbuiza show yao ya kwanza
Ulaya mji wa London..uk..
Watanzania wengi wameonekana kuwapokea
Vizuri vijana..
 
Jana madogo walikuwa live bbc swahili londn na leo wanatumbuiza show yao ya kwanza
Ulaya mji wa London..uk..
Watanzania wengi wameonekana kuwapokea
Vizuri vijana..

Watanzania wengi wameonekana kuwapokea?..so wanatumbuiza watanzania kama wanavyofanya pale mbagala? Ama kweli safar bado ni ndefu
 
Watanzania wengi wameonekana kuwapokea?..so wanatumbuiza watanzania kama wanavyofanya pale mbagala? Ama kweli safar bado ni ndefu

duuuuu kumbe mda wote ukisikia diamond kaenda us ana show unafikiri anaperfom mbele ya wazungu hahahaaa ni east africa fans tu
 
Back
Top Bottom