Akamtoa mpaka mwenzieee
Kaziin
hizi busara uwe nazo siku zote sio kwa zamaradi tuu.. my ladyHivi wewe ni nani hasa mpaka kukosoa uumbaji wa Mungu? Sasa subiri mwanao atapokuja kuwa na mgongo wazi hapo ndo utaelewa kuwa Meno ya Zamaradi si kilema
Kamwe tujifunze kuto kukosoa maumbile ya M/Mungu na tuwakemee wale wanaofanya hivyohizi busara uwe nazo siku zote sio kwa zamaradi tuu.. my lady
Ruge kila akifikiria kuoa moyo unakataa, anafikiria zile totoz za THT na totoz mpya za mjengoni ataziacha vipi. Ila at least tumpongeze Zamaradi, kuweza kuzaa na Malaya mwenye pesa kama yule tena watoto wawili si jambo dogo, anauhakika wa urithiNasikia Ruge anawala tuu watoto wazuri ukijumlisha na wale wa THT wakike ha ha kazi ipo
Sema bas nikununulie madera mangap achana na wakina chanelle na vuttonUnaweza mkuta 'hyat regency kavaa dera na wala asijali kitu'
C ukamwambie hujaolewa unatakaangekuwa hajaolewa ningemwoa mm
Kabsaaaa maaana ukiuwaMalipo ni hapa hapa duniani, asicheze na karma
acha uongo wewe ruge anawatoto wengine kwa mke mkubwaWa kwanza, Ruge hajawahi kuoa
Ruge hajawahi kuoa, labda ungeuliza hawara ! ......jamaa kavuka 50+ ! bado sharobaro !Hivi huyu atakuwa ni Mke wa ngapi wa Ruge?
sio kwelihajaolewa bado Ila ana watoto wawili