Hongera sana Zamaradi Mketema, nimekuelewa!

Hongera sana Zamaradi Mketema, nimekuelewa!

Ila zamarad anajua kuvaa nguo za staha coz sijabahatika kuona Chura [emoji451] kila nikimvizia ageuke holla!! Ila naamini ana zigo zuri2 la kuvunja chaga,hahahaa ...I Wish I could Be Ruge
Chura yupo ila wa kiasi anachohimili, mwili ule akipewa ya Masogange ataelemewa atembee kwa wheelchair.
 
Hmna kitu hapo..................huyo ni shabiki wa mashoga.......................
 
Nasikia Dina Marios aliondolewa mjengoni sababu ya huyu, kwani Dina naye alikuwa analiwa na Ruge?
Sidhani kama aliondolewa kwa ajili hiyo! Chanzo Dina aliendaga likizo ya uzazi kipindi akaachiwa Husna ambae alikuwa hafahamiki kabisa!

Husna hakufanya kosa... akaitumia fursa vizuri kwa kukitendea haki kipindi kiasi kwamba hata Dina aliporudi, ikaonekana isingekuwa fair kumtoa Husna wakati kipindi anakitendea haki kweli kweli!

Wakamtafutia sehemu nyingine ambayo inaonekana hakuwa happy kama alivyokuwa Leo Tena ambacho alitoka nacho mbali! Huku na kule mara wakaja EFM wakampa offer afanye kile alichokuwa anafanya!
 
Panda kwanza mazao ya muda mfupi au yale yanayovumilia ukame!
Sasa hivi si huko mikoani mvua zimeanza kunyesha?

Ukija huku jijini ndio tutakuonyesha huyo zamaradi

Hahaaaaaaa JF buaaaana!
 
Sidhani kama aliondolewa kwa ajili hiyo! Chanzo Dina aliendaga likizo ya uzazi kipindi akaachiwa Husna ambae alikuwa hafahamiki kabisa!

Husna hakufanya kosa... akaitumia fursa vizuri kwa kukitendea haki kipindi kiasi kwamba hata Dina aliporudi, ikaonekana isingekuwa fair kumtoa Husna wakati kipindi anakitendea haki kweli kweli!

Wakamtafutia sehemu nyingine ambayo inaonekana hakuwa happy kama alivyokuwa Leo Tena ambacho alitoka nacho mbali! Huku na kule mara wakaja EFM wakampa offer afanye kile alichokuwa anafanya!
Ila wangemuacha tu dina arudi kwenye nafasi yake Huyo husna mi simuelewagi
 
Mhhh magonjwa ndio ya kuyaogopa kwenye hiyo kutembea na mastar ni kuogopa UKWIMWI
 
Sijaona kipya zaidi ya kutaka kuendelea kuwatetea mashoga na kujaribu kuonesha ameonewa....
 
Hamjui finding a husband is an art n hold him is a job[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Ila wangemuacha tu dina arudi kwenye nafasi yake Huyo husna mi simuelewagi
I see... miee sio mfuatiliaji wa hicho kipindi kwahiyo mimi as mimi sifahamu uwezo wa kila mmoja wao ingawaje ukisema Dina alikuwa mbali sana compared to Husna, siwezi kushangaa hata kidogo cuz' Dina ni legendary wakati Husna aliingia kwenye kipindi kinachopendwa sana na watu wakati akiwa hana uzoefu!!

Ila radio wanaangalia unaingiza nini! Kama kipindi kiliendelea kupata wadhamini wa kutosha kabisa na mkwanja kuongezeka; hiyo ni sababu tosha ya kuwafanya wamuache!
 
..........kuna jamaa anaitwa Jimmy Kabwe (Jumanne Kabwere), naye simtofautishi na Ruge ! ...mara ya mwisho alionekana TFF. Huyu ndo alimtambulisha Miss TZ Jackquile kwenye ulimbwenda.
Kuna mtu anataarifa kama kaoa jana au juzi hivii !? geniveros
 
Back
Top Bottom