Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,051
- 5,104
Kuna haja ya mjadala huu kweli peleka fb
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hua tunazini na akina nani?mwanaume anayejielewa hazini
Chura yupo ila wa kiasi anachohimili, mwili ule akipewa ya Masogange ataelemewa atembee kwa wheelchair.Ila zamarad anajua kuvaa nguo za staha coz sijabahatika kuona Chura [emoji451] kila nikimvizia ageuke holla!! Ila naamini ana zigo zuri2 la kuvunja chaga,hahahaa ...I Wish I could Be Ruge
Tusi kama hili utakuwa unatukana robo tatu ya binaadamu wa ulimwengu huu.Mwanamke anaejielewa hazai nje ya ndoa....
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] sio tusi nduguTusi kama hili utakuwa unatukana robo tatu ya binaadamu wa ulimwengu huu.
Sidhani kama aliondolewa kwa ajili hiyo! Chanzo Dina aliendaga likizo ya uzazi kipindi akaachiwa Husna ambae alikuwa hafahamiki kabisa!Nasikia Dina Marios aliondolewa mjengoni sababu ya huyu, kwani Dina naye alikuwa analiwa na Ruge?
Panda kwanza mazao ya muda mfupi au yale yanayovumilia ukame!
Sasa hivi si huko mikoani mvua zimeanza kunyesha?
Ukija huku jijini ndio tutakuonyesha huyo zamaradi
Ila wangemuacha tu dina arudi kwenye nafasi yake Huyo husna mi simuelewagiSidhani kama aliondolewa kwa ajili hiyo! Chanzo Dina aliendaga likizo ya uzazi kipindi akaachiwa Husna ambae alikuwa hafahamiki kabisa!
Husna hakufanya kosa... akaitumia fursa vizuri kwa kukitendea haki kipindi kiasi kwamba hata Dina aliporudi, ikaonekana isingekuwa fair kumtoa Husna wakati kipindi anakitendea haki kweli kweli!
Wakamtafutia sehemu nyingine ambayo inaonekana hakuwa happy kama alivyokuwa Leo Tena ambacho alitoka nacho mbali! Huku na kule mara wakaja EFM wakampa offer afanye kile alichokuwa anafanya!
Ayahujielewi
I see... miee sio mfuatiliaji wa hicho kipindi kwahiyo mimi as mimi sifahamu uwezo wa kila mmoja wao ingawaje ukisema Dina alikuwa mbali sana compared to Husna, siwezi kushangaa hata kidogo cuz' Dina ni legendary wakati Husna aliingia kwenye kipindi kinachopendwa sana na watu wakati akiwa hana uzoefu!!Ila wangemuacha tu dina arudi kwenye nafasi yake Huyo husna mi simuelewagi
tajiri sana nini eti..unaweza kuokota zali la mentali