Hongera sana Zamaradi Mketema, nimekuelewa!

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
38,378
Reaction score
56,047
Za usiku wapendwa wa humu!

Mda si mrefu Gadner na Kibonde walikua wanamfanyia mahojiano mtangazaji wa clouds kipindi cha take one Zamaradi..

Kiukweli naomba nimsifu kwa kujitahidi kukitendea haki kipindi maana amejibu maswali vzr sana kwa hilo naomba nimpongeze na amejitahidi kua muwazi kwa uwezo wake

Amenigusa zaidi alipozungumzia kuhusu malezi ya watoto wake,namna mzazi wake alivyokua anajitahidi mwanawe asome vizuri ili kutimiza malengo yake na kubwa zaidi aliposema yeye ni simple sana na ni mtu wa kawaida sana akiwa nyumbani

Unaweza mkuta 'hyat regency kavaa dera na wala asijali kitu'
anaamini yeye ni zaidi ya dera...

Kwa kweli nimepata somo kubwa na nimezidi kujiamini na kuona kumbe kuna watu wapo km wewe!!

Cha msingi timiza malengo yako,Fanya kile cha mhimu ma chenye manufaa..kiukweli wengi tumekua tukimsema zamaradi na mavazi yake ila sasa tunapaswa tuangalie'uwezo wake wa kujenga hoja badalq ya mavazi'

Ahsanteni
 
Bado kakosa technical points of defending herself against kumhoji yule shoga kuwahoji wakosaji ni kuwapa chance ya kupata sympathy kwa wananchi na kuwafanya wengine wawaone hawana hatia from psychosocial point of view ni vyema taarifa za kutoa elimu juu ya ukengeukaji tu zishamiri sio kuwaexpose hawa watu kabisa
 
Za usiku wapendwa wa humu!

Mda si mrefu Gadner na Kibonde walikua wanamfanyia mahojiano mtangazaji wa clouds kipindi cha take one Zamaradi..

Kiukweli naomba nimsifu kwa kujitahidi kukitendea haki kipindi maana amejibu maswali vzr sana kwa hilo naomba nimpongeze na amejitahidi kua muwazi kwa uwezo wake

Amenigusa zaidi alipozungumzia kuhusu malezi ya watoto wake,namna mzazi wake alivyokua anajitahidi mwanawe asome vizuri ili kutimiza malengo yake na kubwa zaidi aliposema yeye ni simple sana na ni mtu wa kawaida sana akiwa nyumbani

Unaweza mkuta 'hyat regency kavaa dera na wala asijali kitu'
anaamini yeye ni zaidi ya dera...

Kwa kweli nimepata somo kubwa na nimezidi kujiamini na kuona kumbe kuna watu wapo km wewe!!

Cha msingi timiza malengo yako,Fanya kile cha mhimu ma chenye manufaa..kiukweli wengi tumekua tukimsema zamaradi na mavazi yake ila sasa tunapaswa tuangalie'uwezo wake wa kujenga hoja badalq ya mavazi'

Ahsanteni
She is trying to make a point in her previous tv presentations nothing more.
 
Bibi ake ruge skuhiz
Ameacha kuongea matope eeh
 
Back
Top Bottom