Hongera sana Zitto Kabwe, Rais Samia sasa kuendeleza mradi wa Bandari ya Bagamoyo

Mimi bado sijaona umuhimu wa bandari tatu kwa umbali mdogo hivyo. Bandari ya Tanga inapanuliwa kupitisha mafuta sasa kwanini Mradi usiwe pale mpaka tujenge bandari mpya. China inaelekea wamehonga watu wengi sana.
 
asante sana Zito kwa ujumbe mzuri. Lipo tatizo dogo katika hoja hii. Tumezoea kuona hoja za kiuchumi za ndugu Zito zilizosheheni takwimu. Ajabu uzi huu mrefu una ukame wa takwimu. Huyu siyo Zito. Kumetokea nini, takwimu hazipo au staili ya uandishi imebadilika. Nachelea kuzungumzia masharti ya mradi kwa sababu hata ndugu Zito anakiri hayajui. Sasa unawezaje kutetea mradi ambao hujui upande mwingine wa shilingi au ndiyo kuuziwa "mbuzi kwenye gunia?".
 
Mimi bado sijaona umuhimu wa bandari tatu kwa umbali mdogo hivyo. Bandari ya Tanga inapanuliwa kupitisha mafuta sasa kwanini Mradi usiwe pale mpaka tujenge bandari mpya. China inaelekea wamehonga watu wengi sana.
Jina isomeke Zitto
 
Hoja ziko vizuri hata kama hakuna takwimu. Fact are stronger
 
Bandari ya bagamoyo itakuwa kubwa kuliko ya Rotterdam???😄😄😄🤔🤔🤔
 
Nimeelewa vema alichoandika Zitto wakati huo. Huu mradi wa Bandari ya Bagamoyo ni Muhimu sana. Sema Mwendazake Aliukandia sana na akili za wabongo nzito zikabaki na mawazo yake
 
Nimeelewa vema alichoandika Zitto wakati huo. Huu mradi wa Bandari ya Bagamoyo ni Muhimu sana. Sema Mwendazake Aliukandia sana na akili za wabongo nzito zikabaki na mawazo yake
Uko wapi sasa huo mradi?
 
Nimeelewa vema alichoandika Zitto wakati huo. Huu mradi wa Bandari ya Bagamoyo ni Muhimu sana. Sema Mwendazake Aliukandia sana na akili za wabongo nzito zikabaki na mawazo yake
Mmezidi chuki kwa Magufuli.

Magufuli alisitisha majadiliano, Mama alipoingia akayaanzisha tena. Naye alipoyakuta ya kuyakuta humo kwenye mkataba, Akasitisha hayo majadiliano.

Hakuna asiyejua umuhimu wa Bandari, ila ni wazi kukwama kwake kwa Magufuli na sasa Samia, inaonesha kuna shida kubwa mahali, ambayo Kikwete hakuijali.
 
KIDAMPA CHA ZITTO. KIJAMAA HUWA HATA KIKILALA KINAMSIFU ZITTO TU. HAKINA KINACHOWAZA ZAIDI YA KUTAFUTA NAMNA YA KUMFURAHISHA ZITTO.
 
Naunga mkono hoja
p
 
KIna Zitto wana tamaa kalinsana na ubinafsi. Lila kitu wanataka wamalize leo.

Kina Nyerere wangekuwa na tamaa hizo, tusingekuta chochote nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…