[emoji23] [emoji23]Ilisemwa na ikarudiwa tena na tena kwamba chochote inachofanya Taifa stars ni utekelezaji wa Sera za CCM. Hivyo kipigo cha Leo ni utekelezaji mzuri wa Sera za CCM za kuhakikisha Watanzania wanaishi kwa shida muda wote. Hongera Senegal kwa kuwasaidia CCM kutekeleza Ilani yao ya kushindwa kila jambo.View attachment 1136733
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ilisemwa na ikarudiwa tena na tena kwamba chochote inachofanya Taifa stars ni utekelezaji wa Sera za CCM. Hivyo kipigo cha Leo ni utekelezaji mzuri wa Sera za CCM za kuhakikisha Watanzania wanaishi kwa shida muda wote. Hongera Senegal kwa kuwasaidia CCM kutekeleza Ilani yao ya kushindwa kila jambo.View attachment 1136733
Bila CCM leo tungepigwa nyingiNi kweli acha ituweke juu kwenye vipigo.
Mkuu nitake radhi bwana, mimi na ccm wapi na wapi .Hamna tofauti na Ibitoke nyie...!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkeka wangu saaaafi.
Wewe Nani kakuambia maisha Bora kwako yanaletwa na ccm,pambanaIlisemwa na ikarudiwa tena na tena kwamba chochote inachofanya Taifa stars ni utekelezaji wa Sera za CCM. Hivyo kipigo cha Leo ni utekelezaji mzuri wa Sera za CCM za kuhakikisha Watanzania wanaishi kwa shida muda wote. Hongera Senegal kwa kuwasaidia CCM kutekeleza Ilani yao ya kushindwa kila jambo.View attachment 1136733
CCM itabaki kuwa juuuuu
Jecha wa Tanzania yupo. Bila kuwa na tume huru CCM itaendelea kuwepo. Hongera Senegal kwa kuifunga timu ya CCM. Mimi nashabikia Misri ndiyo timu yangu
Ilisemwa na ikarudiwa tena na tena kwamba chochote inachofanya Taifa stars ni utekelezaji wa Sera za CCM. Hivyo kipigo cha Leo ni utekelezaji mzuri wa Sera za CCM za kuhakikisha Watanzania wanaishi kwa shida muda wote. Hongera Senegal kwa kuwasaidia CCM kutekeleza Ilani yao ya kushindwa kila jambo.View attachment 1136733