Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Ilisemwa na ikarudiwa tena na tena kwamba chochote inachofanya Taifa stars ni utekelezaji wa Sera za CCM. Hivyo kipigo cha Leo ni utekelezaji mzuri wa Sera za CCM za kuhakikisha Watanzania wanaishi kwa shida muda wote. Hongera Senegal kwa kuwasaidia CCM kutekeleza Ilani yao ya kushindwa kila jambo.