Bado hyo pesa ndogo sanaYaani Kwa degree ya ualimu walioajiriwa Mwaka huu wapo walioanza na TGTS D1 (arts) na Kwa sayansi Wameanza na TGTSD3.Hapo tofauti ni kama 34K
Kumbe tofauti ni elf 34 tu..Yaani Kwa degree ya ualimu walioajiriwa Mwaka huu wapo walioanza na TGTS D1 (arts) na Kwa sayansi Wameanza na TGTSD3.Hapo tofauti ni kama 34K
Huu ni ubaguziYaani Kwa degree ya ualimu walioajiriwa Mwaka huu wapo walioanza na TGTS D1 (arts) na Kwa sayansi Wameanza na TGTSD3.Hapo tofauti ni kama 34K
Nafikiri hakuna hela ndogo, kdg kdg hujaza kibaba.34k itakusaidia Nini Mkuu ?
Umasikini hauondiki kwa hizo posho
NakaziaNafikiri hakuna hela ndogo, kdg kdg hujaza kibaba.
Hiyo ni hela ya nauli ya mwezi kabisa
Elfu 34 nayo pesa, si bao tu hilo nalo kwa arifu tu ukiwa handsomeYaani Kwa degree ya ualimu walioajiriwa Mwaka huu wapo walioanza na TGTS D1 (arts) na Kwa sayansi Wameanza na TGTSD3.Hapo tofauti ni kama 34K
Kumbe tofauti ni elf 34 tu..
Ujinga tu huu[emoji848] hii ni siasa ya Kupumbazana. Atleast ingekua 100k.Yaani Kwa degree ya ualimu walioajiriwa Mwaka huu wapo walioanza na TGTS D1 (arts) na Kwa sayansi Wameanza na TGTSD3.Hapo tofauti ni kama 34K