Hongera serikali kwa kutofautisha mishahara ya walimu wa sayansi na Sanaa (Arts)

Mwalimu wa sanaa angeondoka na 560 net na wa sayansi aondoke na 950 net take home. Haiwezekani mtu asome fizikia mechanics Yale madude yalivyo magumu uje kunilinganisha na mtu aliyesoma Mali empire.
Ila hii 34k Ni kuwatukana,Kama vipi wote Bora wasome arts
 
Huko mbeleni huenda wakaboresha.
 
Mwalimu wa sayansi tumia fursa uliyobarikiwa na mung ie High IQ.
Wanasaysnsi wengi wana high Iq hio itakusaidia kujifunza vitu vingi nje fani na kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…