johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa niaba ya Wazawa wa mwananyamala nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya CCM kwa ukarabati mkubwa wa barabara zote unaoendelea kuanzia Vijana hostel na mzunguko wote Komakoma, A nyamala, Manjunju, Kwa mama Zakaria Peace Kwa kopa, Magengeni, Hospitali na kurudi pale A nyamala kwa mzee Lutangilo Ng'ondya!
Mungu ni mwema wakati wote!
Mungu ni mwema wakati wote!