Nazipongeza timu zetu 2 za yanga na simba kufuzu makundi, kwani imetuongezea heshima, ika hawa Singida big stars wanastahili lawama kabisa kwa jinsi walivyoitayarisha timu, wamepeleka timu bila makocha wa uhakika na tumetolewa na timu ikiwa pungufu ya mchezaji mmoja aliyepigwa red card, hovyo kabisa.