Hongera Simba na Yanga

Mpira hautegemei maombi. Ingekuwa hivyo basi Mecca, Saudi Arabia na Roma, Italia wangekuwa ndiyo wanachukua makombe ya dunia kila mara.
Itumike Lugha gani mbadala labda
 
Mpira hautegemei maombi. Ingekuwa hivyo basi Mecca, Saudi Arabia na Roma, Italia wangekuwa ndiyo wanachukua makombe ya dunia kila mara.
Hivi yale maombi hufanywa viwanjani wachezaji wakikumbatiana pamoja kwa dakika chache huashiria nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…