DK Mweluvu
Member
- Mar 3, 2020
- 88
- 135
Hongera mnyama kwa kushinda kombe la ngao ya jamii kwa msimu huu wa 2023/2024
Pole Singida Fountain kwa kupokea kipigo kitakatifu bila huruma.Japo mlionesha kuimarika hasa beki Onyango ni kama aliwaonesha Simba amezaliwa kukaba
Pole nyingine ziende kwa Dar young African Sports club kwa kupokea kipigo katika fainali ya Community shield.
Pongezi ziende kwa TFF na bodi ya Ligi kwa kuanzisha mfumo huu wa kuingiza timu nne kwenye ngao ya jamii
Pongezi nyingine kwa TFF kwa kufanya Mkwakwani uonekane kama Wembley ya low budget
Pongezi na Ushauri kwa Azam media tunathamini juhudi zenu lakini tunaomba muongeze Camera kwenye kunasa matukio All in All mmefanya na mnafanya kazi kubwa na nzuri sana.
Nawasilisha,karibu kwa POVU,tusi,na hasira zote
Ni mimi
Mcha-MBUZI